FT | Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBC premier league | CCM Mkwakwani | November 8, 2023

Tukio la refa kufuta kadi ya kwanza na kutoa kadi nyingine linafaa kuingia kwenye majabu 7 ya dunia. By the way, walio nyuma ya Coastal Union wanaharibu mpira wa Tanzania. Msimu uliopita walibaki Ligi Kuu kwa maagizo na sio uwezo. Ngoja tuone msimu huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…