FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

Hakuna hiyo kitu, lbd uweke ya magoli CR win 4+
Daah mbona CRB ni timu ya kawaida sana hizo goli 4 wanafungia wapi gemu zao nyingi wakishinda ni goli moja au mbili kwa moja au wafungwe wao kama walivyofungwa gemu zote na Alger na huo Uwanja ni wa Alger wao wana uwanja wao mdogo kama wa Azam ni vile ndugu zetu wengi mpira umewapita kushoto matokeo ndio yanawaamsha...
 
Hii mechi imekaa vibaya
Naona DRAW ikiwa tutakaza
Ila tukizingua tutafungwa
Kwa nje ya uwanja(medani za kiutamaduni) mechi ngumu kushinda
Kimodern tutategemea juhudi za wachezaji
7bu nyota wetu tegemezi hii mechi imewakalia kushoto
 
Kachoka. Anacheza

mechi nyingi Nifah
 
Sister mbona una hofu mno? Kuwa na amani tusubiri kikosi kitajwe kwanza
 
pacome weee aka la profeseri atauq mtu mshenzi yule yao yao mkaba upepo waarabu watahisi wanacheza na jini. azizi k usije piga yale mashuti muarabu wa wawatu hana mtoto usije ukaua. max kama max kiboko ya waarabu diara anadaka mpka matatizo uwiii waarabu poleni jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…