chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Wenzetu wanakabidhi timu kwa mganga. mganga kafa kwa tezi dume saivi wanahaha mtoto wa mganga tapel kama mo.Timu tumeishaikabidhi Kwa Mungu toka Leo asubuhi.Tunasubiri kazi ya mikono yake.Kila la heri Yanga a k a wananchi.
WEWE subiri uone. Sisi tunajua tumachokifanyaNadhan kuna machine inaitwa FULL TIME hapo nyumbani kwako utaiset isome hivyo
Nami nataman kujua...anayejua atujuzeHivi dstv wataonesha hizi game za caf?
Mkuu tupo... Yanga mnagongwa leo. Baadae nitarudi kukukumbusha usije ukakimbia.WEWE subiri uone. Sisi tunajua tumachokifanya
HawaonyeshiHivi dstv wataonesha hizi game za caf?
Pamoja ya kuwa itapendeza sana ila si rahisi. Hiyo timu Yanga anaimudu vizuri.Mkuu tupo... Yanga mnagongwa leo. Baadae nitarudi kukukumbusha usije ukakimbia.
Yaani wanacheza na hao waarabu kisha out hata bila kucheza na vilabu vingine? Kweli kuna mapopoma hapa JFUgenini. Bolaziz 3-1 Yanga
Home:-------Yanga 1-1 {Yanga Out}
Nasubiri.Mkuu tupo... Yanga mnagongwa leo. Baadae nitarudi kukukumbusha usije ukakimbia.
Leo mmepokea ng'ombe wenu hapo msimbazi?
Nchi inaenda kupata aibu kama ile ya goal 5 tarehe 5NCHI INAENDA KUPATA AIBU YA MWAKA[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Anagongwa mkono wa nyani kama ule wa Simba aliogongwa DSMMkuu tupo... Yanga mnagongwa leo. Baadae nitarudi kukukumbusha usije ukakimbia.
Basi wewe pumbavu....tuanze hivyoJinga kabisa wewe..
Leo ndio utashuhudia nini maana ya mpira mkae kitako mjifunze,sajili makini kocha makini na uongozi makini.. yanga inaleta mabadiriko ktk nyanja ya mpira Tanzania mpira sio ulozi au Imani yakishirikina bali mbinu akili na wachezaji wenye viwango.. yanga inawafundisha mpira ni sayansi..
Leo itakushika aibu ya kwanini huishabikii yanga,donge litakutoka muda utasema nawe.