Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah katukosesha kumaliza pakitiAiseeee. Huyu Nkane. 🤔
Mbona waliweka...! Hata hivyo usijipe shida kwa vitu rahisi yaani..!Mods tumeshawajua mnashabikia timu gani. [emoji1787][emoji1787]
Wengine live mnawawekea mpaka asubuhi sisi hata kuiweka leo hamjataka.
Mbona waliweka...! Hata hivyo usijipe shida kwa vitu rahisi..!
Mchezaji Wako Huyo Mkuu [emoji23][emoji23]Aiseeee. Huyu Nkane. [emoji848]
Hahahaa. Ila kuna saa kanauzi.Mchezaji Wako Huyo Mkuu [emoji23][emoji23]
Kwani uto wanasemaje...?Utopolo kubahatisha, kuvizia.. ubingwa wa kimasihara
Utopolo laini sana bila kubebwaPCCB wachunguze hii mechi,kipa kaacha goli wazi kabisa
Yanga Baba lao....✍️Kwani uto wanasemaje...?
Chukwu emeka
Its Pancho Tate Mkuu zipompa ukikaidi utapigwa2 CHAMASON-MORISON-SAKHOSON
Tulia wewe! wananchi wafurahie weekend.Utopolo laini sana bila kubebwa
Hahaha mkuu umenijumuisha kwenye kundi la wazee wa viporo Mie sipo huko ni mwananchi pureKwani uto wanasemaje...?
Chukwu emeka
Its Pancho Tate Mkuu zipompa ukikaidi utapigwa2 CHAMASON-MORISON-SAKHOSON
Uto...mtatafutana..hamtaamini kitakachowapata.Zamu yenu inakuja. Safari hii nusu fainali hamchomoki.