FT: Fountain Gates FC 0-4 Young Africans SC | NBC Premier league | Kwaraa Stadium | 21-04-2025

FT: Fountain Gates FC 0-4 Young Africans SC | NBC Premier league | Kwaraa Stadium | 21-04-2025

Wachukue tu ubingwa wao.

Simba akomae abebe kombe la shirikisho (Cafcc)
Hapana inatakiwa simba wabebe treble ili kuwakata ngebe hawa utopolo bado nafasi ipo ya simba kuchukua ubingwa wa nbcpl, wasiruhusu yanga wachukue kwa mara ya nne mfululizo inatakiwa msimu huu wamalize bila kombe hata moja, ili akili ziwakae sawa wajue kwamba kufanya match fixing hakuwasaidii vinginevyo wataendeleza huu mchezo
 
Keshatimuliwa!!
Kutimua mtu ni process. Kinachowezekana ni kumsimamisha. Msimu uliopita huyo Golikipa kafanya madudu mengi sana. Na inaonekana anawabless wana wapige mpunga kwenye mikeka. Angalia hata goli lililopostiwa mechi kati ya Tabora na Jkt Tz halafu na lile goli alilofunga fondo dhidi ya Tabora hiyohiyo, hayo magoli yote anawabless wana wapige mpunga kwenye mikeka hasa Nigerians
 
Hapana inatakiwa simba wabebe treble ili kuwakata ngebe hawa utopolo bado nafasi ipo ya simba kuchukua ubingwa wa nbcpl, wasiruhusu yanga wachukue kwa mara ya nne mfululizo inatakiwa msimu huu wamalize bila kombe hata moja, ili akili ziwakae sawa wajue kwamba kufanya match fixing hakuwasaidii vinginevyo wataendeleza huu mchezo
Hii kijana ya Mangungu inaota ndoto ya mchana! Unatakiwa utambue hivi; hakuna kombe mtalichukua msimu huu. Siyo la shirikisho, siyo la ligi kuu, siyo la muungano, nk.

Nyinyi endeleeni tu kujenga timu mpaka 2030.
 
Back
Top Bottom