FT: Fountain Gates FC 0-4 Young Africans SC | NBC Premier league | Kwaraa Stadium | 21-04-2025

Bora huyu kapigwa nne vip wale walio pigwa tano watakuwa wameuza kwa shilingi ngapi.
Nimeangalia mpira goli la kwanza na la pili yote ni zawadi kwa boss GSM, nikaachana na mechi yenyewe.
 
Tatizo huu uwezo mnaousemea nje ya mipaka ya nchi huwa hauonekani.
 
Hauonekani kivipi?

Yanga msimu wa mwaka juzi kacheza fainali shirikisho.

Mwaka jana katolewa kwa figisu robo fainali klabu bingwa na mamelodi.

Nyinyi pia makolo mlitolewa robo kwa kutungwa game zote 2 na al ahly.

Mwaka huu kolo hata klabu bingwa umeshindwa kushiriki kwa uwezo wako mdogo kinyume chake ukaangukia shirikisho.

Sasa ulitaka yanga akuoneshe uwezo gani?
 
Tunasonga mbele sisi
 
Usituchose na wewe mlishindwa nini kufunga goli lingine ili kuua ile figisu ya Mamelodi. Si mlicheza mpaka penati nyie nini kilizuia msitikise nyavu badala mlikuwa mnapaisha.
 
Histo

Sasa nakuchoshaje kolo?

Au kuandika kwamba umetoka robo fainali kwa kupasuliwa game zote 2 na ahly umeumia?
 
Back
Top Bottom