FT: Fountain Gates FC 0-4 Young Africans SC | NBC Premier league | Kwaraa Stadium | 21-04-2025

FT: Fountain Gates FC 0-4 Young Africans SC | NBC Premier league | Kwaraa Stadium | 21-04-2025

Fundi kwa local matches, angekuwa fundi mahiri angefunga angalau goli moja tu pale kwa Mkapa ili utopwinyo waende robo final ya CAFCL...

Au siku ile kwenye mechi na waarabu hakucheza?

Huyo ni fundi wa ndondo cup tu 😂😂
😃😃
 
Sasa mbona ulikimbia na sababu zenu zisizo na maana hamueleweki mara mumlaumu meneja mara baunsa, waacheni wenzenu walio kubali kucheza na Yanga
Hatutakaa kuwakimbia ninyi
 
Back
Top Bottom