Simba mundu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 1,343
- 1,679
Nyie tusemen tutagomea mechi sisiKama kawaida wazee wa sinema zetu wapo uwanjani leo,unadhani nani starring?
Mwamuzi,kipa ama mabeki?
Nyie tusemen tutagomea mechi sisiKama kawaida wazee wa sinema zetu wapo uwanjani leo,unadhani nani starring?
Mwamuzi,kipa ama mabeki?
Usisahau na Camara naye aliwahi kuurudisha ndani mpira uliokuwa unatoka nje, kusababisha goli kwene derby iliyopita.Huyo golikipa wa fountain pambavu zake.Timu ya ovyo sana.
Msiende bondeni kuwasha moto kwenye viwanja vya watuHakuna wakutuzuia jombaa.
Labda mchukue la CUF ya Lipumba.kumbe ligi bado inaendelea🤣🤣🤣.wapeni tu kombe.sisi tutachukua la caf
😂😂😂😂Yamekimbia uzi wao 🤣🤣🤣
😃😃😃😃😃Kipa John Noble amewauza wenzake
Benchi la ufundi limemfanyia sub ya lazma kipindi cha kwanza
Kihimbwa anaweza akala red muda wowote
Mpira wa Tanzania ni vichekesho sana
Mbona tupo mwanetuYamekimbia uzi wao 🤣🤣🤣
Vipi kuhusu Camara na Kijili. Na wenyewe walifanya nini kwenye ile mechi mliyolala 1-0!!Kipa John Noble amewauza wenzake
Benchi la ufundi limemfanyia sub ya lazma kipindi cha kwanza
Kihimbwa anaweza akala red muda wowote
Mpira wa Tanzania ni vichekesho sana
Tupo aisee😎Mbona uzi umepoa hiviii? Lol
Kama vile vichekesho vya simba ile tarehe naneKipa John Noble amewauza wenzake
Benchi la ufundi limemfanyia sub ya lazma kipindi cha kwanza
Kihimbwa anaweza akala red muda wowote
Mpira wa Tanzania ni vichekesho sana
Bora kukimbia kuliko kuuza utuNyinyi mkakataa kununuliwa, na badala yake mkakimbia kabisa.
Wasaidiee takukuru na ujinga wako....Yanga bingwa...Huyu John Noble TFF INVESTIGATION BOARD kwakushirikiana na TAKUKURU wamchunguze mawasiliano yake ya karibuni na UONGOZI WA YANGA. Kuna Kila kiashiria cha upangwaji Matokeo Kwenye Hii Mechi inayoendelea.View attachment 3311114