Cc: Active, Moderator twende sawa.🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Fountain Gate FC🆚Young Africans SC
📆 21.04.2025
🏟 Tanzanite Kwaraa
🕖 10:00 Jioni
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
View attachment 3310969
KIKOSI CHA FGFC kinachoanza.
View attachment 3311046
Kikosi cha Yanga Kinachoanza.
View attachment 3311044
Mtaanza kutoa milio muda sio mrefu.
Viporo sio vizuri.
Yaani hii game tukishinda lazima mtoe milio. Yanga asicheze tena hadi mkamilishe viporo
AmeenLolote baya liwakute Yanga
'kuchukua kikombe' .. dah. utopoloni kuna burudani za utumiaji wa lughaUpumbavu ni kipaji pia mkuu ...
Kama uongozi wa Simba, bado unawaza kuja kuchukua kikombe Cha CRDB basi wanakipaji ch upumbavu ...
Better focus ibakie shorikisho na wachukue.... Hamna hamna saaaana basi wacheze fainali.
Ngoja tuone baada ya hii gameUpumbavu ni kipaji pia mkuu ...
Kama uongozi wa Simba, bado unawaza kuja kuchukua kikombe Cha CRDB basi wanakipaji ch upumbavu ...
Better focus ibakie shorikisho na wachukue.... Hamna hamna saaaana basi wacheze fainali.
Yamekimbia uzi wao 🤣🤣🤣Mbona uzi umepoa hiviii? Lol