Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Na mwaka jana walifungwa fainali na Zamaleki! Mechi ya jana wamempiga yule Costantine nani sijui goli 4-0! Na hiyo timu ilikuwa kundi moja na simba!!Berkane wako serious balaa.
Kwa hali ilivyo, huyu RS Berkane ndiye bingwa mtarajiwa wa haya mashindano msimu huu. Mashabiki wa simba waache kujipa moyo. Hawatoboi.