FT: Fountain Gates FC 0-4 Young Africans SC | NBC Premier league | Kwaraa Stadium | 21-04-2025

FT: Fountain Gates FC 0-4 Young Africans SC | NBC Premier league | Kwaraa Stadium | 21-04-2025

Tutapanga mpaka yakwako tukuchape mpaka ukaandamane uko FIFA
 
Elezea kidogo basi, nini ni viashiria vya hizo tuhuma zako?

Usiwe kama nanihiu, tuhuma nyingi, uthibitisho hamna!
 
Kwa jinsi TV ilivyo mbali nae na ilivyo ndogo hakyanani lazima uone vibaya.
 
Ogopa Mtu anayevuta ugoro uliochanganywa na samadi
 
Back
Top Bottom