FT: Fountain Gates FC 0-4 Young Africans SC | NBC Premier league | Kwaraa Stadium | 21-04-2025

We mkund.u kwaiyo kuwapasua kote nje ndani 4x tumebebwa?Aisee amber rutty kazi mnayo!
Du Mkuu!Haya matusi ni kwa sababu ya mpira au kwa sababu unatumia jina feki?Utani wa jadi sidhani kama huko hivi.
 
Huyo boyah ametuka na mm nimemjibu kadri ya hekima zake shida Iko wapi?
Du Mkuu!Haya matusi ni kwa sababu ya mpira au kwa sababu unatumia jina feki?Utani wa jadi sidhani kama huko hivi.
 
huyu kipa aliye ingia inafaa achapwe 3 ili akili iwakae sawa
 
Back
Top Bottom