FT: Fountain Gates FC 0-4 Young Africans SC | NBC Premier league | Kwaraa Stadium | 21-04-2025

FT: Fountain Gates FC 0-4 Young Africans SC | NBC Premier league | Kwaraa Stadium | 21-04-2025

Histo
Sasa nakuchoshaje kolo?

Au kuandika kwamba umetoka robo fainali kwa kupasuliwa game zote 2 na ahly umeumia?
Si bora hata mimi nilitoka kwenye hatua ya robo na kufungwa au kufunga ni sehemu ya mchezo. Wewe sasa makundi tu chaliii.
 
Yanga kwenye ligi ni mtindo wa kuhonga tu kila mechi,wakienda kimataifa wanaishia makundi kule hamna udhamini wa GSM
 
Huko mbele mbele yao. Bakini na back history zenu.
Tutaleta kikombe cha shirikisho home. Mtakufa kwa wivu
Mh labda kombe la uji.

Ila kombe la shirikisho sahau.
 
Si bora hata mimi nilitoka kwenye hatua ya robo na kufungwa au kufunga ni sehemu ya mchezo. Wewe sasa makundi tu chaliii.
Msimu huu ambao Yanga kaishia makundi klabu bingwa wewe kolo hata kushiriki umeshindwa umedondokea shirikisho huko kombe la waliofeli.
 
Yanga kwenye ligi ni mtindo wa kuhonga tu kila mechi,wakienda kimataifa wanaishia makundi kule hamna udhamini wa GSM
Vipi na nyinyi mliopigwa mara 4 mfululizo, mlihongwa kiasi gani cha fedha?
 
Hivi utashangaa na leo tena wanashinda! Hii Young Africans 💚💛 ingehamishiwa tu EPL, Laliga, au Bundasiliga huko ili ipate ushindani wa kweli. Kinyume na hapo, kuna siku timu zote za ligi kuu zitasusia kucheza mechi dhidi yake.
Ingefaa ihamishiwe bongo muvi kwenye kipengele cha sinema zetu kwenye soka
 
Chama na wenzake wanajua waulize kama walikuficha
Mechi ya mwisho ya Derby Camara aliurudisha ndani mpira uliopigwa na Chama huyo huyo, na ulikuwa unaelekea nje! Na Kijili akatia mpira kwenye nyavu! Vipi, na hao wawili nao tuwaongeze kwenye hiyo orodha ya Chama na wenzake?
 

Attachments

  • IMG-20250421-WA0023.jpg
    IMG-20250421-WA0023.jpg
    57.1 KB · Views: 17
Back
Top Bottom