FT: Fountain Gates FC 0-4 Young Africans SC | NBC Premier league | Kwaraa Stadium | 21-04-2025

FT: Fountain Gates FC 0-4 Young Africans SC | NBC Premier league | Kwaraa Stadium | 21-04-2025

Nilikua nasbiri hii coment ukicheki aina ya watu waliopo humo tunapata picha ya huyu mleta mada ni wa namna gani. utakuta kavaa libukta likubwaaa limepauka
Ila yanga mnawaumiza watu, kila wakitegemea utajikwaa ndio kwanza unaruka viunzi, da! balaa!!
 
Mjinga wewe Mzee unayeshangilia kuifunga fountain na CAFCL unatolewa makundi na apo unajiona BINGWA
Umasikini mbaya sana, pole!

IMG-20250421-WA0015.jpg
 
Kipa ndo steringi....! Kachomesha bao 2, Wamemtoa asiendelee kutoa swadaka.!
 
Back
Top Bottom