FT: Fountain Gates FC 0-4 Young Africans SC | NBC Premier league | Kwaraa Stadium | 21-04-2025

Kama kawaida Yanga watainunua hii mechi ili kupoza machungu ya Simba kuingia fainali ya CAF
 
Leo 2 _ 0 inawatoshavhao watoto wa Manyara....wanajihisi wao ndio wageni.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…