FT: Fountain Gates FC 0-4 Young Africans SC | NBC Premier league | Kwaraa Stadium | 21-04-2025

Berkane wako serious balaa.
Na mwaka jana walifungwa fainali na Zamaleki! Mechi ya jana wamempiga yule Costantine nani sijui goli 4-0! Na hiyo timu ilikuwa kundi moja na simba!!

Kwa hali ilivyo, huyu RS Berkane ndiye bingwa mtarajiwa wa haya mashindano msimu huu. Mashabiki wa simba waache kujipa moyo. Hawatoboi.
 
Ni kweli hawatoboi.
Wamalize safari yao tu kwa amani huko kwa Madiba
 
Simba inanipa raha hadi nasahau kuna vitimu vinaitwa sijui Fountain Gate, sijui Yange
Halafu game ni yao lakini peepepepepe ziko kwa Simba.
Wajiandae kujikanda kwa maumivu ya moyo na vihoro. 🦁 🦁🦁
 
Watu tunasahahu hata Kama ligi inaendelea bhana .....

Anyway ... Simba washaondoka nchini tiar ???
 
Chakula chetu sisi hakijapikwa mkuu.
Kuku zetu zimeachwa zinenepe nenepe kwanza. Tutazichinja Sio mda.
Mtaanza kutoa milio muda sio mrefu.
Viporo sio vizuri.
Yaani hii game tukishinda lazima mtoe milio. Yanga asicheze tena hadi mkamilishe viporo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…