Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Kaweka mabeki watatu washambuliaji wengi na hawakai na mpira..Huyu kocha kwa mbinu hizi kimataifa hatoboi🚮🚮
Timu zitakuwa zinapaki bus na kumuua kwenye kaunta na mabeki wake kina Mwamnyeto😄🙌
Wewe ni mtoto wa zinaa....Kwamba wewe umecheza nini unataka kutudanganya hapa kobelo wewe mnuka n'ya
HaohaoSi ni walewale ama
Kwenda huko na meno yako yaliyopandianaWewe ni mtoto wa zinaa....
Sahihi mzee..! Yani wanachezea 'MITI' kwenye baridi la JangwaniWale jamaa wanapigwa baridi pale Jangwani noma
Ulikuwa mbele ya muda mkuuNa atagongwa kimoja cha nguruwe 😅
Mimi sina sababu ya kukudanganya kama mpira nimecheza japo sikufika level za ligi kuu ila nishacheza ngazi ya mkoa... ndio maana najiamini kuwa naujua mpiraKwamba wewe umecheza nini unataka kutudanganya hapa kobelo wewe mnuka n'ya
🤣🤣🤣👆👆👆Yanga atafanya comeback moja ya kibabe tulieni muone
KeshoLini