FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

Kama kuna mchezaji ameongoza kupoteza mipira na kucheza ujinga leo basi ni Sure Boy. Anacheza utadhani hajui kwamba mkataba wake unaisha January
 
Ihefu wanatumia nguvu sana, Halafu Gamondi anaanza na kina kibwana, Moloko, Skudu wachezaji wasio na nguvu[emoji848][emoji848]
Mbaya zaidi msimu uliopita tulipoteza point kwenye huu uwanja. Hivyo hakutakiwa kucheza kamari kwenye huu mchezo.

Alitakiwa aanzishe kikosi cha kazi, ili kufuta uteja! Halafu kwenye mechi na Geita Gold ndiyo angefanya haya mabadiliko yake.
 
Back
Top Bottom