FT| JKT FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Maj.Gen Isamuhyo Stadium | 05.05.2025

Utopolo msio na vigoli vya kubangaiza mnashiriki mashindano ya Umiseta kusini Pemba kwenye uwanja wa gombani
Tusijipe matumaini sana hesabu hazijakaa upande wetu, tunaweza kujikuta mwisho wa siku tunakosa makombe yote...Mimi ni kolo mwenzio usinisemee uyanga.
 
Utopolo mechi na Simba hawachezi kwa sababu wanadai hawana imani na Bodi ya Ligi na TFF lakini mechi zingine wanacheza.
Sijui sasa hizo mechi zingine zinasimamiwa na Bodi ya Korosho na Tanesco?
Inasikitisha!
 
Mimi ligi ya bara nilishagaacha kutizama misimu mingi sana kwasababu ya huu ujinga, huwa nashagaa sana kusikia eti ligi bora ya tano afrika,?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…