FT| JKT FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Maj.Gen Isamuhyo Stadium | 05.05.2025

Simba inacheza ovyo sana. Wakicheza hivi kwa timu kama RS Berkane wataoga magoli
Wanacheza ovyo kwa timu ya ovyo.

Unampelekaje five star hotel demu katoka kijijini. Atakuona mshamba, mpeleke kwa mama lishe akashibe ubwabwa
 
Wanacheza ovyo kwa timu ya ovyo.

Unampelekaje five star hotel demu katoka kijijini. Atakuona mshamba, mpeleke kwa mama lishe akashibe ubwabwa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hizi nafasi wanazozichea Simba ikitokea JKT wakasawazisha tutawalaumu sana

Zaidi ya nafasi nne za wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…