FT: Ken Gold 0-1 Yanga | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 25.09.2024

Utopolo inabidi mtushukuru kwa kumleta Chama tz
Usichokijua ni kwamba Chama alikuwa aende Yanga, ila Simba walikuwa kwenye ufalme kipindi kile hivyo Yanga asingeweza kunyang'anyiana na Simba
 
Yaani hadi sasa timu imepata kagoli kamoja tu? Wameshindwa kufunga la pili? Wameshindwa kufunga la tatu? Wameshindwa kufunga la nane? Wameshindwa kufunga la 10?
Hako kagari Kamekua mama yao mzazi? Maana mama mzazi ndiyo anakuwa mmoja mmoja.
 
Yaani hadi sasa timu imepata kagoli kamoja tu? Wameshindwa kufunga la pili? Wameshindwa kufunga la tatu? Wameshindwa kufunga la nane? Wameshindwa kufunga la 10?
Kamekua mama ya mzazi hako kagoli? Maana mama mzazi ndiyo anakuwa mmoja mmoja.
Tulieni jamani watafunga mengi tuu...wamesema
 
Ngoja tuone kipindi cha pili. Lakini goli limefungwa na beki kwa set piece.

Goli kama hilo inatakiwa lifungwe kwenye mechi ambayo ni ngumu na siyo hii Kengold huku mkijitapa kuwa na viungo na washambuliaji hatari.
Ni kweli wana washambuliaji na viungo hatari kwani miaka miwili iliopita wafungaji bora wametokea timu ipi?
 
Ngoja tuone kipindi cha pili. Lakini goli limefungwa na beki kwa set piece.

Goli kama hilo inatakiwa lifungwe kwenye mechi ambayo ni ngumu na siyo hii Kengold huku mkijitapa kuwa na viungo na washambuliaji hatari.
Mpira wa Bongo hujui kama timu inaweza ikaonekana mbovu ila zikikutana na Simba au Yanga zikapambana na kujitahidi katika uchezaji hadi wengine wanasema wanakamia mechi. Kingine pitch pia inaweza kuwa ni moja ya changamoto na la mwisho kipa wa Ken Gold kacheza michomo zaidi ya tatu ambayo ilikuwa ni za hatari na zilikuwa zinaelekea golini. La mwisho timu haiwezi kushinda kila mechi kwa lundo la magoli.
 
Kipindi cha pili kwahewa

๐Ÿ’›๐Ÿ’›๐Ÿ’›๐Ÿ’›๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ–ค๐Ÿ–ค๐Ÿ–ค๐Ÿ–ค!๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช

Cc Smart911
 
Kwa maelezo yako,mji uko vilevile kama nilivyoukuta miaka zaidi ya kumi iliyopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ