Mcheza Viduku
JF-Expert Member
- Jun 24, 2020
- 1,111
- 2,754
Mwezi dume huu.Hii hapa ni ratiba ya Simba SC kwenye michezo yake ya mwezi wa OktobaView attachment 2374846
Ukijibiwa ni tagHivi Simba wana Upuuzi Gani? Huwa wanakuwa na Maana Gani Kutumia Hela Nyingi kufanya Mechi za Kirafiki na Pre Season? Kama Wachezaji Ambao Wanaenda nao kwenye Mechi za Kirafiki na Pre season Hawawatumii?
Mashabiki wasipp enda uwanjani wanalalamika? Huu ni Upuuzi Gani?
Kikosi Cha leo Sidhani kama Hao wachezaji walio anza wana Mechi Fitness kwasababi Hawakuwepo Zanzibar
Mtu kama Okwa, Okrah kwanini Waanzie benchi Na Mwingine asiwepo Kabisa [emoji2369][emoji2369][emoji2369][emoji2369][emoji2369]
Simba Viongozi na Benchi la Ufundis wanatupia Sana hela kwa kisingizio cha Mechi za Kirafiki…. Kuna Tofauti gani na Timu ambayo haijafanya mechi za Kirafiki?
Okwa anacheza nini na nyie mashabiki mnapenda tu lawama sasa ukisema ambae hakucheza Zanzibar asicheze kwahiyo unamaanisha Chama na Phiri wale ubao sasa ili wacheze hao wakina Okwa na Kibu kisa wana Fitness??Hivi Simba wana Upuuzi Gani? Huwa wanakuwa na Maana Gani Kutumia Hela Nyingi kufanya Mechi za Kirafiki na Pre Season? Kama Wachezaji Ambao Wanaenda nao kwenye Mechi za Kirafiki na Pre season Hawawatumii?
Mashabiki wasipp enda uwanjani wanalalamika? Huu ni Upuuzi Gani?
Kikosi Cha leo Sidhani kama Hao wachezaji walio anza wana Mechi Fitness kwasababi Hawakuwepo Zanzibar
Mtu kama Okwa, Okrah kwanini Waanzie benchi Na Mwingine asiwepo Kabisa [emoji2369][emoji2369][emoji2369][emoji2369][emoji2369]
Simba Viongozi na Benchi la Ufundis wanatupia Sana hela kwa kisingizio cha Mechi za Kirafiki…. Kuna Tofauti gani na Timu ambayo haijafanya mechi za Kirafiki?
Katika wachezaji wakupigwa chini dirisha dogo ni pamoja na OKWA, NA AKPAN! Mashabiki tunapenda kulaumu na vitu visivyo na maanaOkwa anacheza nini na nyie mashabiki mnapenda tu lawama sasa ukisema ambae hakucheza Zanzibar asicheze kwahiyo unamaanisha Chama na Phiri wale ubao sasa ili wacheze hao wakina Okwa na Kibu kisa wana Fitness??
Tuna mechi muhimu ya kimataifa ndio maana umeona mostly ya wachezaji ambao hawakuwepo zanzibar (Chama,Phiri,Inonga) wameanzishwa ili kupata match fitness kuelekea mechi ya Angola kumbuka hakuna mchezo mwengine mbali na huu tunaocheza leo kabla ya kuwakabili De Agosto
Mkuu relax kwanza. Inawezekana kwenye hizo pre match na hizo za kirafiki Hawa wachezaji unaowaona nyota wameshindwa ku prove themselves. Dhumuni la hizi pre matches ni kumpa mwalimu nafasi kuwaona wachezaji wake, inawezekana Hawa uliowataja hawana Cha ziada walichomuonesha mwalimu. Tumuamini mwalimu, kuwa na amani. Kumbuka hata mwalimu aliyetoka alikuwa anawaanza bench baadhi ya Hawa na tukawa tunalalamika! Inawezekana kabisa Hawa ni samaki wa mapambo kwenye aquarium!!!Hivi Simba wana Upuuzi Gani? Huwa wanakuwa na Maana Gani Kutumia Hela Nyingi kufanya Mechi za Kirafiki na Pre Season? Kama Wachezaji Ambao Wanaenda nao kwenye Mechi za Kirafiki na Pre season Hawawatumii?
Mashabiki wasipo enda uwanjani wanalalamika? Huu ni Upuuzi Gani?
Kikosi Cha leo Sidhani kama Hao wachezaji walio anza wana Mechi Fitness kwasababu Hawakuwepo Zanzibar
Mtu kama Okwa, Okrah kwanini Waanzie benchi Na Mwingine asiwepo Kabisa
Simba Viongozi na Benchi la Ufundi wanatupiga Sana hela kwa kisingizio cha Mechi za Kirafiki…. Kuna Tofauti gani na Timu ambayo haijafanya mechi za Kirafiki?