FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Mechi za hatua ya Makundi za Ligi ya Mabingwa Afrika kuendelea tena leo tarehe 08.07.2023

Yanga kutoka katika kundi D watakuwa ugenini kumenyana na Madeama ya nchini Ghana. Mechi hii itachezwa kuanzia saa 1:00 jioni katika uwanja wa Baba Yara nchini Ghana.

Je, wawakilishi hawa wa Tanzania wataondoka na alama tatu?


Kikosi cha Yanga kinachoanza

Kikosi cha Madeama kinachoanza



- Mchezo umeanza

- Madeama wanapata penati 25'

- Goooal Madeama 1 - 0 Yanga

- Goooal Yanga wanasawazisha 1 - 1

Mpira umekwisha Madeama 1 - 1 Yanga
---
Magoli ya Jonathan Sowah wa Medeama na Pacome Zouzoua wa Yanga yameziwezesha timu hizo kutoka sare katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Kundi D uliopigwa kwenye Uwanja wa Kumasi Nchini Ghana

Mchezo mwingine wa Kundi hilo AlAhly ya Misri imepata matokeo ya 0-0 dhidi ya CRBelouizdad ya Algeria

Baada ya mechi hizo, Al Ahly inaongoza ikiwa na pointi 5, CR Belouizdad (4), Medeama (4) na Yanga ina (2)
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nnachowapenda hawa jamaa nyimbo zote kali kali wanatunga wao

Leooo leo ndo leo leeoooo kivumbi na jashoπŸ˜‚πŸ˜‚



Hatujamalizaaaaa aaaa
Medeama wamesema 😁
 

Malengo kama malengo πŸ‘πŸΎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…