Tarkwa municipality
Ghana
Medeama Sporting Club inafadhiliwa na mgodi wa dhahabu Gold Fields group, ni kama timu ya Geita Gold ya kutoka mkoa wa Geita, Tanzania inayofadhiliwa na mgodi .
Inaendelea na ujenzi wa kiwanja cha kisasa cha mpira wa miguu wa TNA Park (Tarka and Aboso stadium) kitachokuwa na uwezo wa kuchukua mashabiki 10,000 na umekamilika kwa asilimia 90% hadi kufikia mwezi November 2023 hivyo hautaweza kutumiwa katika michuano ya kimataifa ambayo Medeama Sporting Club inashiriki msimu huu.
Habari zaidi:
08 November 2023
Baba Yara Stadium, Kumasi
Ghana
MEDEAMA SPORTING CLUB KUKUMBANA NA DOZI YA YOUNG AFRICANS LEO ?
Medeama inatarajia ushindi wa pili wa pointi tatu zaidi, baada ya kukusanya pointi 3 toka ushindi wao wa mabao 2 - 1 dhidi ya timu ya Algeria ya CR Belouizdad katika michuano hii ya ngazi ya makundi ya CAF champions League
Medeama ikifanikiwa kutia kibindoni pointi 3 katika mchezo muhimu wa leo watajiweka katika nafasi nzuri ya kuendelea mbele katika michuano hii ya mabingwa wa klabu Afrika.
Hata hivyo kocha mkuu wa Young Africans mu-argentina Miguel Angel Gamondi ana matumaini ya club yake kuendeleza utamaduni wa sasa wa klabu ya Yanga kushinda pointi tatu ugenini, hivyo kutibua matumaini ya Medeama Sporting Club kupata wepesi wa kuendelea mbele katika michuano hiyo.
View: https://m.youtube.com/watch?v=e8jGLCem4rs
Medeama SC will be aiming for a second win a row in the CAF Champions League group stage when they host Young Africans in a crucial encounter on Friday afternoon.
Coming from a vital 2-1 victory over Algerian side CR Belouizdad, the Ghanaian champions are poised and motivated to overcome Yanga at the Baba Yara Stadium in Kumasi.
Medeama will move to six points with a win on Friday, brightening their chances of advancing to the next round of the competition.
Augustine Evans Adotey has received a major boost to his squad with the return of talisman Jonathan Sowah from suspension.
Sowah has been the main man for the Yellow and Mauves this term, having hit the back of the net six times in 13 outings across all competitions.
Yanga, on the other hand, are looking for their first win in the competition, having suffered a 3-0 loss to Belouizdad and being held at home by Al Ahly SC in the first two games.
The Citizens from Tanzania are in Ghana for one main aim to claim a victory over Medeama as they want to revive their chances of qualifying to the next round by the end of the group phase.
The head coach, Miguel Angel Gamondi, has acknowledged that he and his charges are determined to beat Medeama in Friday's encounter.
The two teams will play again in the reverse fixture next week at the Benjamin Mkapa Stadium in Dar es Salam, the capital of Tanzania
Medeama Sporting Club
Medeama Sporting Club is a Ghanaian association football club based in Tarkwa, Western Region. It was formerly known as Kessben F.C. before changing its name to Medeama Sporting Club in January 2011.
Medeama Sporting club stadium under construction was expected to be ready in November 2023 but as things are showing on the ground Medeama Sporting Club will not be able to use their ultra modern stadium on the current ongoing international games tournament games officiated by CAF
View: https://m.youtube.com/watch?v=gcACcepbb9U