FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

Hata mm imani yangu ipo hivi
Kila nikiangalia zile mechi mbili ,naona kabisa kwenye hili kundi Ni Ahly na Yanga ndio wanachomoza
Wale CRB walitufunga Kwa ufala WA kocha na kipa lkn sio kua Wana mpira mkubwa
Ni kama tulivyofungwa na ihefu
Kwa ihefu, yanga mmekaa mara mbili, siyo kwa bahati mbaya bali ni: yanga hamna kitu.
 
Hivi Gamondi alivyokuwa anajidai kwamba kwa yanga hii kila mchezaji atafunga, alikuwa na maana kufunga Ramadhani au kufunga nini?
Maana kama ni kufunga magoli kwa huku cafcl hatujaona kitu.
 
Hivi Gamondi alivyokuwa anajidai kwamba kwa yanga hii kila mchezaji atafunga, alikuwa na maana kufunga Ramadhani au kufunga nini?
Maana kama ni kufunga magoli kwa huku cafcl hatujaona kitu.
Hakumaanisha kuwa kila mechi lazima wachezaji 11 wafunge, bali amemaanisha kuwa mfumo wake yeyote akipata nafasi ya kufunga, anafunga na wala siyo jukumu la Mzize na Musonda pekee kufunga.
 
Back
Top Bottom