FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

Tuna wachapa hawa .Waarabu wana enda kuuwana wao kwa wao sisi tuna kaa paleee.
 
Match Day.

Ni siku nzito sana,

Siku inayoenda kutoa hatma ya Wanajangwani.

Medeama Vs Yanga.

Muda ni saa Moja Usiku.
Twende Sote.

Kila la Heri Wananchi
Siku ya kubadili upepo na kuamsha matumaini ya kutinga fainali🤔.Wanajangwani kila kitu kinawezekana,tunawapindulia meza hao waghana.
 
Huu ndo uwanja unaoenda kutumika leo
20231208_173444.jpg
20231208_173442.jpg
20231208_173439.jpg
 
KIKOSI KINACHOANZA AZIZ KI BENCHINIView attachment 2836805
Hahahhh si tulikubaliana Aziz ki ni nguzo na mhimili wa Timu ?. Isitoshe alifananishwa had na Kina percy Tau,... Vipi tena leo mbon nje 😂😀 ila nmesikitika kumuona nje maan Topolo wakifungwa watapata kisingizio,

Note: Niliwah kusema na leo naludia kusema haya mashindano yatamfukuzisha Gamondi kibarua,... Naona dalili zote zinajionyesha kwamba inaenda kutimia.
 
Hahahhh si tulikubaliana Aziz ki ni nguzo na mhimili wa Timu ?. Isitoshe alifananishwa had na Kina percy Tau,... Vipi tena leo mbon nje [emoji23][emoji3] ila nmesikitika kumuona nje maan Topolo wakifungwa watapata kisingizio,

Aziz hajawa kwenye kiwango kizuri tangu ile mechi ya Algeria, gamondi afukunzwe kwanini ??? Amefikia malengo ya yanga (group stage ) kwanini afukuzwe ??
 
Hahahhh si tulikubaliana Aziz ki ni nguzo na mhimili wa Timu ?. Isitoshe alifananishwa had na Kina percy Tau,... Vipi tena leo mbon nje [emoji23][emoji3] ila nmesikitika kumuona nje maan Topolo wakifungwa watapata kisingizio,

Note: Niliwah kusema na leo naludia kusema haya mashindano yatamfukuzisha Gamondi kibarua,... Naona dalili zote zinajionyesha kwamba inaenda kutimia.
Kuna namna ushabiki unataka kutufanya tuwe wajinga, nilishangaa pia kuona Tau analinganishwa na Aziz, mtu anakwambia Pacome ni sawa ni Zidane.[emoji23]
 
Hahahhh si tulikubaliana Aziz ki ni nguzo na mhimili wa Timu ?. Isitoshe alifananishwa had na Kina percy Tau,... Vipi tena leo mbon nje [emoji23][emoji3] ila nmesikitika kumuona nje maan Topolo wakifungwa watapata kisingizio,

Note: Niliwah kusema na leo naludia kusema haya mashindano yatamfukuzisha Gamondi kibarua,... Naona dalili zote zinajionyesha kwamba inaenda kutimia.
Akili za jikoni hizi.
 
Back
Top Bottom