FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

Daah mm moyo jamani upo juu juu mtasikiaga nimekufa ajili ya yanga
 
Refa ni wao, ile straight red cad. Angefanya mchezaji wa Yanga ile foul ni umeme moja kwa moja angepewa
Mbona kwenye penati hakutoa red wakati job alikuwa mtu wa mwisho?
 
Kwakweli hii mbinu sijailewa inampaka kazi kubwa sana Aucho, inabidi job aingie kati hali inayoifanya upande wa kulia ndiko wanapitia
Gamond asipobadilisha mbinu, magoli yatakuwa mengi leo, timu haina balansi. Unacheza na mabeki watatu huku kiungo anacheza Aucho peke yake
 
Yanga tuna wakati mgumu. Yaani mpaka Medeama wanamiliki mshambuliaji mzuri kuliko sisi!!! Nadhani viongozi wetu walipuyanga kwa kumuuza Mayele na kumnunua Konkoni.
Leo beki za Yanga zina kazi ya kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…