FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

Kwakweli hii mbinu sijailewa inampaka kazi kubwa sana Aucho, inabidi job aingie kati hali inayoifanya upande wa kulia ndiko wanapitia
Gamond asipobadilisha mbinu, magoli yatakuwa mengi leo, timu haina balansi. Unacheza na mabeki watatu huku kiungo anacheza Aucho peke yake
 
Yanga tuna wakati mgumu. Yaani mpaka Medeama wanamiliki mshambuliaji mzuri kuliko sisi!!! Nadhani viongozi wetu walipuyanga kwa kumuuza Mayele na kumnunua Konkoni.
Leo beki za Yanga zina kazi ya kufanya
 
Back
Top Bottom