Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Leo Konkoni lazima acheze, hata kama kwa dk 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga tuna wakati mgumu. Yaani mpaka Medeama wanamiliki mshambuliaji mzuri kuliko sisi!!! Nadhani viongozi wetu walipuyanga kwa kumuuza Mayele na kumnunua Konkoni.Yanga hatimaye mtarudi mchezoni kibabe.
Labani og Tate Mkuu Shadeeya Carleen njooni sasa kumeshakucha huku....
zipompa NALIA NGWENA ukikaidi utapigwa2 rudini jamvini.
Akosee!?Hivi Labani og huwa haupo mwny live eee sijawahi kukuona kabisaaa....utakua unaliaga ww...
Mbona kwenye penati hakutoa red wakati job alikuwa mtu wa mwisho?Refa ni wao, ile straight red cad. Angefanya mchezaji wa Yanga ile foul ni umeme moja kwa moja angepewa
Ila bado yupo mkiani 😂Yanga anaongoza kwa kumiliki mpira.
Dah! Kunywa maji mengi ndugu. Walau uuone hata mwaka mpya tu.Daah mm moyo jamani upo juu juu mtasikiaga nimekufa ajili ya yanga
hii mechi tunashinda 3-1Yanga hatimaye mtarudi mchezoni kibabe.
Labani og Tate Mkuu Shadeeya Carleen njooni sasa kumeshakucha huku....
zipompa NALIA NGWENA ukikaidi utapigwa2 rudini jamvini.
Liarabu hili refa ni lipuuzi. Ndio maana Wayahudi wanayagonga pale Gaza. Ukiuliza Max kapewa Kadi kwa Kosa gani? Jamaa limeinua Kiatu kabisa na pia dhamira yake ilikuwa kuumiza ila refa kanyamaza.Uto kaonewa ilikua straight red huyo mwamba jezi namba 4 kanyanyua ndula.
Itakua anaanzisha Nyuzi zake zile halafu ana like mwenyewe kwa Id nyingineAkosee!?
Huyu chalii ana acc kibao tupo naye hapa kajificha tu kwa id nyingine 😂
Aminaaaa!!Hii game,yanga akitulia,anashinda mapemaaa
Gamond asipobadilisha mbinu, magoli yatakuwa mengi leo, timu haina balansi. Unacheza na mabeki watatu huku kiungo anacheza Aucho peke yake
Wanaojuq sheria watakuja kukujibuMbona kwenye penati hakutoa red wakati job alikuwa mtu wa mwisho?
Leo beki za Yanga zina kazi ya kufanyaYanga tuna wakati mgumu. Yaani mpaka Medeama wanamiliki mshambuliaji mzuri kuliko sisi!!! Nadhani viongozi wetu walipuyanga kwa kumuuza Mayele na kumnunua Konkoni.