ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Wanaweza kushinda kama watakazaKwani yanga hawezi kushinda 2-1 kisa CR ALIPIGWA?? usikalili kishabiki brother yanga wapo vzr possession wapomewazidi hao medeama halafu unakalili yanga wapigwe
Hayakufai haya...fanya kama huoniHebu kalia wewe kwanza na unuse
Kila laheri...hii mechi tunashinda 3-1
Wapo na vibonde wao watulie wajipatie point 3, π€£Utopolo wapungunze papala hii game ni yao kabsa
Kutoka wapiNaaam nimerejeeee
Kama imekuuma chomoa ujambe Mkuu πππππHebu kalia wewe kwanza na unuse
Anaapia nini atulie tuu...Bacca anaapia kwa refa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bacca anaapa kabisa kwamba hajafanya foul [emoji23][emoji23]
Bacca ameumia
π€Hebu kalia wewe kwanza na unuse