FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

Kwani yanga hawezi kushinda 2-1 kisa CR ALIPIGWA?? usikalili kishabiki brother yanga wapo vzr possession wapomewazidi hao medeama halafu unakalili yanga wapigwe
Wanaweza kushinda kama watakaza
 
Bacca anamwambia refa
Walahi sijamkata anaongea kwa vitendo
 
Back
Top Bottom