FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

Ila tukienda ule ukweli Diara anaweza akacheza timu kama Manchester city na akaperform vizuri sana
Ukiongeza juhudi kwenye mambo mengine utaenda mbinguni.
 
Hizo 5 wapigeni wajukuu wa Kwame mtoke mkiani Uto wahed 😁
Tano tumewapiga nyie wake zetu. Kutoka mkiani tunawaachie nyie ila 5 mlikula kwa Mkapa. Au kama mnabisha, mechi irudiwe hata leo baada ya game hii ya Medeam ikiisha.
 
Kocha wa Yanga afanye sub wachezaji wamechoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…