Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
80'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiongeza juhudi kwenye mambo mengine utaenda mbinguni.Ila tukienda ule ukweli Diara anaweza akacheza timu kama Manchester city na akaperform vizuri sana
Hawa jamaa wakija kwa Mkapa watakufa nyingi sana
Kocha kichaa Kwa nini asimtoe?Aaaah watu leo watamuandama sana Dickson Kibababe
Kabisa kabisa, wachovu haoHawa jamaa wakija kwa Mkapa watakufa nyingi sana
Tano tumewapiga nyie wake zetu. Kutoka mkiani tunawaachie nyie ila 5 mlikula kwa Mkapa. Au kama mnabisha, mechi irudiwe hata leo baada ya game hii ya Medeam ikiisha.Hizo 5 wapigeni wajukuu wa Kwame mtoke mkiani Uto wahed 😁
KabisaMpira wa AFRIKA
3 v 3 tunashindwa kufanya shambulizi la hatari.
Poor yanga,