FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

Timu za Tanzania tuziombee kwakweli zina hali mbaya , bado huyu wa kesho tumuone
 
Kundi lina timu ngumu, hawa Medeama mbele sio mchezo, mechi ya marudiano kwa Yanga, Belouizdad na Al Ahly hawa jamaa watakufa na mtu. Hili kundi linaamuliwa hadi mechi za mwishoni, Belouizdad kafungwa na Medeama lakini kamkingia kifua Al Ahly. Yanga kama wangekuwa na wamaliziaji wazuri wangepata alama tatu leo, kundi bado ni gumu sana.
Itabidi yanga asubiri tena miaka 25 kuweza kuingia makundi! Hakuna kundi rahisi! Makundi rahisi yako kwenye kombe la losers! Huku mkia unawahusu kama ilivyokuwa miak 25 iliyopita!
 
Itabidi yanga asubiri tena miaka 25 kuweza kuingia makundi! Hakuna kundi rahisi! Makundi rahisi yako kwenye kombe la losers! Huku mkia unawahusu kama ilivyokuwa miak 25 iliyopita!
Aisee ..hili kundi bado,Utopolo waaweza kupenya!
 
Aziz ki nini kimempata hayupo mchezoni haonyeshi juhudi yoyote hii ni mechi ya tatu yupo yupo tu uwanjani
Ana msongo wa mawazo kwa kuanzia benchi!! Amesusa!! Hilo shuti la direct kick si la Azizi Ki tunayemjua!
 
Aisee ..hili kundi bado,Utopolo waaweza kupenya!
Kimahesabu bado kundi liko wazi! lakini niambie uto atapata pointi tatu toka kwa timu ipi? Tatizo lingine GD yake ni mbovu (-3)!! Kama uliwaona Medeama walivyocheza na Al Ahly ugenini mbele ya makelele ya waarabu, usitegemee makelele ya uto hapa bongo yatawashtua chochote!! Na hiyo ndiyo mechi pekee ya kujharibu kujikwamua!! Huko kwa waarabu hataambulia kitu!!
 
Back
Top Bottom