FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

Sio goli la pili tu hata zile 5 nazo za Mkapa Stadium hazikuwa magoli mkuu. Kwenye Maruti mlisawazisha.
Hatukuelewana. Sikua natania. Nilikua namaanisha Utopwinho lile goli la offside lilikua goli halali linesman kawanyima goli. Ingekua kuna VAR mngepewa goli lenu mlistahili.
 
Mimi ni mshabiki w Simba ,ila huwa nayofautisha matakwa yangu na uhalisia! Yanga waeza fanya lolote...labda tuwaombee mabaya! Nafikiri Simba tujikite kwenye mambo yetu!
 
Kwa ufupi tu ni kwamba, msimamo wa kundi jinsi ulivyo hivi sasa ndivyo utakavyokuwa mpaka hatua ya makundi inamalizika.

Kama Kuna mabadiliko, basi yatatokea kwenye nafasi ya tatu na ya nne lakini Zile nafasi mbili za juu zitabaki kama zilivyo!
Mimi niliwaambia watu hilo swala kabla hata mechi hazijaanza, wakaniona mpumbavu
 
Ukiwasikia Wana yanga wanavyomu address Al ahly unaweza dhania wao ndio wanamjua zaidi kuliko hata simba anavyomjua al ahly.... Wasijue al ahly na simba Wana derby yao hapa Champions league
 
Ukiwasikia Wana yanga wanavyomu address Al ahly unaweza dhania wao ndio wanamjua zaidi kuliko hata simba anavyomjua al ahly.... Wasijue al ahly na simba Wana derby yao hapa Champions league
Achana na derby dhidi ya Al Ahyl

Hakikisheni mnapata hata droo au ushindi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…