FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

Yanga SIYO timu ya wananchi bali ni timu ya wananchi wachovu wa jangwani!! Medeama tupigie hao wachovu hadio wai-miss michuano ya losers!!
 
Kitimu chenyewe kinachowatetemesha hakipo hata kwenye ramani ya soka la afrika!! Utakitafutya kwa tochi!! Lakini uto wanakitetemekea usipime!!
 
mwenye link ya hii game, naona bien sport wameweka mbio za magari...
 
Uto....hii gemu ushindi unawezekana, labda tuzingue tu.
 
Huyu MEDEAMA anajua.. leo kazi ipo kulaaanina nahama TIMU jamani nahamia SIMBA
 
Back
Top Bottom