Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki kikosi sijakielewa kabisa, sijui ana mpango gani!Gamond asipobadilisha mbinu, magoli yatakuwa mengi leo, timu haina balansi. Unacheza na mabeki watatu huku kiungo anacheza Aucho peke yake.
Hata ikiisha mjifunze kubalance mdomo...labda ww sio msemaji sana ila kuna wale huwa hawafikirii huu ni mpira...
Kabisa sasa kipa katoka anafata mpra yeye anashika tu.Ila Job simkubaligi basi tu, ana maamuzi ya hovyo.
Huyu ndio alianza kutuletea balaa kwenye fainali Vs Usma
Tp mazembeeeeeemimi ni yooongaa!
Sawa
mikono juu mwendo wa mateka..mpira unajua kuumiza aiseeeh'...!!🙌
Penati ni pata potea. Haina mwenyewe