FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

Gamond asipobadilisha mbinu, magoli yatakuwa mengi leo, timu haina balansi. Unacheza na mabeki watatu huku kiungo anacheza Aucho peke yake.
Hiki kikosi sijakielewa kabisa, sijui ana mpango gani!
 
Medeama vs Yanga

Mtajua wenyewe hapo Yanga ni yupi
 

Attachments

  • bongostudy-20231207-0001.mp4
    1.2 MB
  • bongostudy-20231207-0001.mp4
    1.2 MB
Sie lengo ilikuwa kuchezea makundi tu, hata tukifungwa mechi zote hakuna shida.
 
Back
Top Bottom