FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

Liarabu hili refa ni lipuuzi. Ndio maana Wayahudi wanayagonga pale Gaza. Ukiuliza Max kapewa Kadi kwa Kosa gani? Jamaa limeinua Kiatu kabisa na pia dhamira yake ilikuwa kuumiza ila refa kanyamaza.
Refa anaastahili kufungiwa kabisa maana hata Diara kachezewa rafu alipokuwa nnje ya uwanja lakini hata hakuwapatia Mediama faulo
 
Huyu refa ni 🚮 ya mwisho kabisa. Hii faulo aliyofanyiwa Kibabage ilistahili kabisa kadi nyekundu.

All in all, kwenye dirisha dogo, viongozi wasajili mshambuliaji. Hawa akina Mzize bado wana vitu vingi vya kujifunza.

Pacome Zouzoua, ni mchezaji wa sayari nyingine. Maana haya magoli yake yanastaajabisha kwa kweli.
Mtu hajakabwa na alikuwa anakosa pale.. mnaanza kumsifia wa sayari nyingine
 
Back
Top Bottom