Roboti Wa Nape
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,174
- 2,876
Sijajua kule waarabu wenzake wa Algeria na Al Ahly ngapi ngapi ila refa kaja na matokeo kwenye mfuko.Kocha anaastahili kufungiwa kabisa maana hata Diara kachezewa rafu alipokuwa nnje ya uwanja lakini hata hakuwapatia Mediama faulo