FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

Gamond ni fala flan tu anayejaribu kutembelea nyota ya Nabi ila ndio hivyo anaaibika.. yanga hatusogei tujiambie tu ukwel
 
Nini maana ya kikosi Bora?
Huu mtazamo wa Yanga kukosa mshambuliaji aina ya Mayele, nimekuwa nikiutoa humu mara kwa mara. Hata kama wana kikosi bora, lakini ukweli mbadala wa Mayele ameprove failure.
 
Hivi hizi nchi zingine mashabiki hua hakuna ? hawaruhusiwi? Au uchumi hoi sana?
Nchi nyingi za kusini mwa jangwa la Sahara na hasa huko Africa magaribi watu wengi Huwa hawana passion kabisa na Soka la Africa pamoja na vipaji lukuki walivyonavyo ...na ndio maana unaona viwanja vyao viko tupu hivi.

Watu wengi wa afrika magharibi, wengi wako obsessed na Soka la ulaya na ndio wanalifuatilia ukaribu sana, kule Huwa Kuna vyama kabisa vya mashabiki wa timu za ulaya.

Mfano, Kuna chama cha mashabiki wa Barcelona nchini Nigeria kinaitwa NABF (Nigerian Association of Barcelona fans) na kina wanachama kibao tu, na Huwa wanafanya party siku Barcelona ikichukua ubingwa. Hawanaga time kabisa na local football.

Huku subsaharan countries ni sisi tu na south Africa ndio tuna passion sana na Soka letu la Africa, Tena kama sisi CAF inajivunia sana kuwa na fanbase... Maana ukitoa waarabu sisi ndio Huwa tunajaza viwanja kwenye mechi zetu na pia tuko serious na mpira wetu.
 
Wote leo hakuna walichokifanya. Mzize amepoteza mipira mingi mpaka basi. Musonda naye anazunguka zunguka tu uwanjani. Hana madhara yoyote mapaka sasa.
Sema kuna siku mchezaji anakupa furaha kuna siku ana kudis appoint...
 
Back
Top Bottom