FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

Tuna changamoto sana ya Marefa,
Hivi wameshindwa nini kuiwekea hii michuano mikubwa hivi VAR?
Kulikuwa na penati ngapi leo ambazo amezipeta za Medeama?

Kuna faulo ngapi ambazo Backa alizifanya na hakusimamisha mpira?

Ukitaka maamuzi ya refa yawe fair yanaweza kukuumiza na wewe.

Kuhusu offside hilo halina mjadala, ilikuwa ni clear na angeruhusu liwe goli ningeingia uwanjani japo nipo TZ
 
Ofusaidiiiiiiiiiiiii ya mchongo
20231208_212425.jpg
 
Nakumbusha tu...Kwa wale ambao walikuwepo 1998 ukiangalia Vizuri kama Kuna kamfanano.!

Mechi Tatu.

points 2

Nafasi ya Mwisho Kwenye msimamo
 
Kulikuwa na penati ngapi leo ambazo amezipeta za Medeama?

Kuna faulo ngapi ambazo Backa alizifanya na hakusimamisha mpira?

Ukitaka maamuzi ya refa yawe fair yanaweza kukuumiza na wewe.

Kuhusu offside hilo halina mjadala, ilikuwa ni clear na angeruhusu liwe goli ningeingia uwanjani japo nipo TZ
Vipi kuhusu red card kwa lichezaji la Mediama?

Yanga wajifunze kwa Simba namna ya kucheza mpira nnje ya uwanja.

Ambatanisha hapa hizo penati walizonyimwa Mediama sawa na hii offside ya mchongo
Screenshot_2023-12-08-21-46-34-15_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Back
Top Bottom