FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

Mkuu wydad ndo kibonde kwenye hili kundi ni km yanga tu kwenye kundi lake... Asec na jwaneng wako pale juu yeye ndo kawapa point sasa mm naachaje kushinda 5
Aaahaaa

Mkifungwa leo mnamfuata Yanga alipo
 
Nikiangalia msimamo Group D najisikia raha sana. Nakushukuru sana mungu ww ni mwema siku zote.
 
.
FB_IMG_1701840960728.jpg
 
Back
Top Bottom