Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Duh!😂😂
Satano mbali basii..?? Mtadundishwa kama kitenesi watoto wa Mo'..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!😂😂
Satano mbali basii..?? Mtadundishwa kama kitenesi watoto wa Mo'..!
Ww bado una hasira za jana 🤣🤣🤣🤣mbwebwe zote za wiki iliyopita zimekuisha Ndio maana umezidiwa uzuri na watoto wa kizuru
ili twende penalt sioLeo Diarra lazma atubebe kwa kupoteza muda
Kariakoo inatuwakilisha.
Sababu hatuna kazi za kufanya sio ?...😃😃Jamaa wameshindwa kujaza uwanja. Ni kuwa wapo busy na majukumu ya kukuza uchumi?
Tanzania tupewe heshima ya kujaza uwanja.
Yeah so far yanga wamejitahidiBoli linatembea