FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

Mwana Yanga wakike shika titiiii kuzuia goliiiπŸ€”πŸ€”
 
Ile foul siyo red kweli? Wananchi salini. Kapona. Imebaki yellow.
 
Huu mfumo wa kupaki basi na pia kupoteza muda hauwezi kabisa kutusaidia wananchi. Tunatakiwa tuongeze kasi ya mchezo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu acha zako bhana.
Wanazingua, siku ile niliwakera simba walianza sikuwa na wasiwasi, leo yamenikuta nimejikuta nakuwa mkali km pilipili 🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…