Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Leo una raha mamelod yanavyotushambulia 🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu tulia, mbona match iko wazi.
Acha alinde vipaji vyao. Report ya Daktari ndiyo inapelekea kocha kuwapumzisha.
Tukienda nusu fainali mtamshukuru kocha.
Wanazingua, siku ile niliwakera simba walianza sikuwa na wasiwasi, leo yamenikuta nimejikuta nakuwa mkali km pilipili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
iyo kasi ya mchezo ikusaidie ninHuu mfumo wa kupaki basi na pia kupoteza muda hauwezi kabisa kutusaidia wananchi. Tunatakiwa tuongeze kasi ya mchezo.
Hicho kishundu chako sasa, we Mwananchi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapanaa udugu, natazama mpira tyuh mie.Leo una raha mamelod yanavyotushambulia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nani kapaki bus?Sasa kama amtaki kutoka mna paki bus la nini[emoji81][emoji81]msako uko pale pale CAF sio ya waoga
Mpira ungeharibika kabisa.Refa asitoe red maana watapata sababu
Nisahihi,Huu mfumo wa kupaki basi na pia kupoteza muda hauwezi kabisa kutusaidia wananchi. Tunatakiwa tuongeze kasi ya mchezo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu em tuache bhana, khaaahHaya majitu yametukosa kosa tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aiseee!! Leo tumeingia cha she
😂😂Ww bado una hasira za jana 🤣🤣🤣🤣
Ila Man U jana mmekubali marehemu (chelsea) kafufukia kwenu??
Nilikuwa Kwaresma mdogo wangu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dyadyaa upoo? Mbona adimu sana?
Ukipotelea wapii?