FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

Uto wapo golini kwao hawaonekani kushambulia wala kupanga mipango ya kushambulia wanasubiri muda uende mpira uishe droo wapige matuta
Ni plan inayoonekana kufanya kazi, inaweza kuwavusha.
 
Nisubiri match ya saa 5 hii ina boa utazani
Mamelodi anacheza na Dodoma jiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…