GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Hapa ndio mwisho waoWasonge tu kama wanaweza. Hakuna anayemzuia mtu hapo. Wote tuache uwezo uamue
lile ni goli hata simba wote wamekubali tunalitetea kama taifa kwa ujumla ushakibiki kandoMie Simba, ila lile ni goli kabisa.
kwa yanga hii n ngumu, hata azam alitupiga kwa goli la offsideNilitaka kuona Yanga inafungwa kwa fair play sio hizi drama za kitoto ambazo tunaziona hapa.
Wanabebwa mambeghesi hawaKawasiliana nao wametukatalia goli letu
Yeyote yule sawa muhimu tuende semi fainal🤣
Aisee🙄🙄Mwana Yanga wakike shika titiiii kuzuia goliii🤔🤔
Nmeumia sanaWanabebwa mambeghesi hawa
Kama umefuatilia maamuzi ya kubumba yaliyohusisha VAR utaona mengi yaliyotolewa bila refa kwenda kwenye screen kujiridhisha.Mpira wa africa jau sana,hawa Mamelod ni wepesi hawabebeki
Angemtoa josephGamond anafeli msonda leo alikuwa form sana
Mkuu Hiyo nilikuwa natania soma Comment #958..Jaribu kuficha uchi wa akili yako basi.
wao wanachojua ni kumiliki mpira hawana watu wakufos magori kule mbele butu kabisaUwezo wa mamelody kushambukia ni mdogo sana sana ..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu ana kalisha pua golinii afu gafra tu ana lilia goli[emoji81][emoji81][emoji81]
Ni mkuu je ile ni goli au sio goli?yanga mnapaswa kuelewa huku si shirikisho
So far mchezo refa kachezesha fair. Ni hilo goli lenye utata tu ndo limeleta shida.Baadaye tena yatajiandaa kubeba waarabu
Mashindano ya kisengerema