FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

All the best makolo
Ila nyie sijui hata km mna pumzi ya kufika penalt
 
1712348073116.png
 
View attachment 2954053
2nd Leg Match

CAF CHAMPION LEAGUE

QUARTER FINAL.

Mamelodi Sundowns vs Yanga Sc

Time: 9:00Pm

Stadium: Loftus Versfeld Stadium
View attachment 2954393

View attachment 2954394

More Updates following...

Kikosi Cha Yanga Kinachoanza
View attachment 2954796
Kazini kwetu kuna Kazi.

Kikosi Cha Mamelodi Sundowns Kinachoanza.
View attachment 2954803
Mpira unaendelea kwa kasi .

Timu zinashambuliana kwa zamu hapa.

30' Mamelodi wanapata free kick nje kidogo ya 18.
Inapigwa inaishia mikononi kwa Diarra.

32' Guede anajaribu kupiga kick inakuwa goal kick.

37' Yanga wanapata kona, inapigwa na Aziz haileti faida yoyote.

Mamelodi wanakosa Goli, kwa kosa la Mkude. Diarra ameokoa.
Inakuwa kona, inapigwa haileti madhara.

40' Free kick wanapiga Mamelodi haileti madhara.

43' Yanga wanapata kona haileti shida kwa Wapinzani.

HT.
0-0

2nd Half.
45' yellow card inatoka kwa Max Nzengeli.
Mamelodi wanapata free Kick nje kidogo ya 18.
Anaipiga haileti tabu.

48' Ayende yellow Card.

90' Full Time...Hakuna mbabe.

Mshindi anaamuliwa kwa Changamoto ya Matuta.

Penalty...
Aziz anakosa
Mamelodi wanapata

Okraa ..Anapata
Sirino Anakosa...

Dickson Job...Amekosaaa
Costa ....Anapata

Joseph Guede.....Amepata!!
Nani hajui ukatili wa mpira duniani
 
Ila wamezingua kinouma hawa wapiga penalty na Aziz Ki yule demu wake ndio kammaliza nguvu, midada ya kibongo inapenda sana kudinywa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Aziz ki anafunga ndani, eti penalty anakosaaa khaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom