Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Hakika wamefanya usengerema kwel
Pumbavuuu mmetupotezea muda Uto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumbavuuu mmetupotezea muda Uto
Wacha hiyo bwana. Yanga hatupo hivyo.Ila wamezingua kinouma hawa wapiga penalty na Aziz Ki yule demu wake ndio kammaliza nguvu, midada ya kibongo inapenda sana kudinywa 🤣🤣🤣🤣😂
Kwa kuonewaKweli tumetoka?🥺
Nani hajui ukatili wa mpira dunianiView attachment 2954053
2nd Leg Match
CAF CHAMPION LEAGUE
QUARTER FINAL.
Mamelodi Sundowns vs Yanga Sc
Time: 9:00Pm
Stadium: Loftus Versfeld Stadium
View attachment 2954393
View attachment 2954394
More Updates following...
Kikosi Cha Yanga Kinachoanza
View attachment 2954796
Kazini kwetu kuna Kazi.
Kikosi Cha Mamelodi Sundowns Kinachoanza.
View attachment 2954803
Mpira unaendelea kwa kasi .
Timu zinashambuliana kwa zamu hapa.
30' Mamelodi wanapata free kick nje kidogo ya 18.
Inapigwa inaishia mikononi kwa Diarra.
32' Guede anajaribu kupiga kick inakuwa goal kick.
37' Yanga wanapata kona, inapigwa na Aziz haileti faida yoyote.
Mamelodi wanakosa Goli, kwa kosa la Mkude. Diarra ameokoa.
Inakuwa kona, inapigwa haileti madhara.
40' Free kick wanapiga Mamelodi haileti madhara.
43' Yanga wanapata kona haileti shida kwa Wapinzani.
HT.
0-0
2nd Half.
45' yellow card inatoka kwa Max Nzengeli.
Mamelodi wanapata free Kick nje kidogo ya 18.
Anaipiga haileti tabu.
48' Ayende yellow Card.
90' Full Time...Hakuna mbabe.
Mshindi anaamuliwa kwa Changamoto ya Matuta.
Penalty...
Aziz anakosa
Mamelodi wanapata
Okraa ..Anapata
Sirino Anakosa...
Dickson Job...Amekosaaa
Costa ....Anapata
Joseph Guede.....Amepata!!
🤣🤣🤣🤣🤣Ila wamezingua kinouma hawa wapiga penalty na Aziz Ki yule demu wake ndio kammaliza nguvu, midada ya kibongo inapenda sana kudinywa 🤣🤣🤣🤣😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wee ushaona wapi
Yaan wenzako wacheze pira wee, Et wee ushinde Kwa Penati[emoji2956]
Ni ujinga sana ukizingatia var ilikuepoLile lilikuwa goli halali
😁😀😁Bacca fala hawa wachezaji walimbato sana kabla ya mechi 😂😂😂
Aziz ki anafunga ndani, eti penalty anakosaaa khaaahIla wamezingua kinouma hawa wapiga penalty na Aziz Ki yule demu wake ndio kammaliza nguvu, midada ya kibongo inapenda sana kudinywa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]